Baada ya Azam tv kuamua kuonyesha kila mechi ya Ligi Kuu ya NBC kwasasa Vibanda umiza vinajaza zaidi mechi za ligi ya NBC kuliko zile za Ulaya.
Mechi za Ulaya huko siku hizi hazina watazamaji wengi huku vibandani.
Coastal Union vs Yanga inaweza ikajaza ukumbi halafu huku Arsenal Vs Liverpool...
Ukweli acha usemwe tu Yanga inatimu nzuri sana kwa misimu hii minne tangu alivyokuwa kocha la mpira Nabi hadi sasa Master Gamond ambaye anarekodi zake nzuri kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu ndani ya Yanga.
1. Moja wapo ni kuipeleka Yanga hatua ya makundi klabu Bingwa Afrika mara mbili...
Mtazamo wangu baada ya kuwatazama Barcelona dhidi ya Madrid, nimegundua kwamba, pamoja na kufanya mazoezi ili mchezaji aweze kucheza soccer kikamilifu na kung'ara anatakiwa pia awe na akili kubwa.
Akili kubwa itamfanya mchezaji kufuata maelekezo ya kocha akiwa kwenye mechi na pia itamuwezesha...
Uwanja wa Liti ni mgumu sana na kwa aina ya wachezaji wa Singida, Yanga hakuwa na uhakika wa kutoboa mechi hiyo, Singida wametoa sare moja t na JKT na wote aliokutana nao amewaua, wana wachezaji wenye uwezo wa kupambana na klabu yoyote ile nchini, hivyo gemu ingechezwa Liti kule kwao mkubwa...
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi...
Coastal Union VS Yanga SC
NBCPremierLeague
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Tarehe: Novemba 26, 2024
Muda: Saa 10:00 jioni
Mechi imeanza karibu kupata burudani ya Soka
I will be short
Lini umeona Simba mechi yake anachezesha arajiga ?? Yanga mechi 3 . Azam fc . Ila Simba mechi zao zote ni za bahasha . Leo Refa kawa onea sana Namungo .
Karia kavuta pesa za mo . Kuwapa ubingwa wa mezani Simba .
Kila mechi ya Simba refa anamakosa ya kibinadamu .
Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani
Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya kutosha, mfano ni leo kenglold wamebebeshwa kilo 4 na Azam.
Ni wapi naweza kupata orodha ua mechi...
Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)
Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0
Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2...
#nguvumoja#...
UPDATES...
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
updates...
DK 5'
Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe.
1-0
DK 10'
Game On
Simba wanamiliki ball kwa kasi kali
1-0
DK 14'
Simba wanapata free kick nje. kidogo ya lango la Namungo FC.
Anaipiga Joshua Mutale...
Nakupongeza sana Refa Ramdhani Koyoko kwa kusimamia sheria zote za mpira wa miguu kati ya Klabu ya Simba na Yanga.
Timu yeyote iwe Yanga au Simba ikishindwa lazima ilalamike. Wanaokulaumu wanakuonea ulichezesha vizuri sana.
Binafsi mimi sina timu ninayopendelea. TFF msiwasikilze...
Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya Dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko.
Ukweli ni kuwa...
Wanasema kwa mpira wa sasa, magoli mengi yanatokea kwenye mipira ya kutengwa.
Wengi wanadai Denis Kibu sio mchezaji mzuri kisa hana magoli au assist nyingi ila wanasahau ni mmoja wa wachezaji wenye kuchezewa faulo kuliko mchezaji mwingine katika ligi ya NBC (ni mtazamo tu ila sina takwimu...
1. Mechi ilikuwa nzuri kwa upande wetu na hasa binafsi nilifurahishwa sana na upangaji wa kikosi pale Fahdu alipomweka Awesu Awesu kucheza namba 10 na Augustine Okajepha kucheza kiungo wa juu yaani namba ila kocha alinikera mno alipomtoa Awesu Awesu wakati akiwa Bado anautaka mpira huku...
Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa...
Inakata moto kipindi cha 2. Dakika 20 zamwisho wachezaji wanahema tu. Yani kocha ana mzuka ila wachezaji wako hoi.
Tukikutana na Singida Black Stars sijui itakuwaje.
Soma Pia: Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024
Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba katika dimba la Sokoine.
Kitu Cha tofauti katika uwanja huo na viwanja vingine ni kuwa utaratibu wa Sokoine stadium magari yanaruhusiwa kuingia ndani ya uwanja
Tazama magari hayo ya polisi yalivyo mengi. Hivi hawawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.