smartphones

  1. JamiiForums Tanzania Samsung yaongoza katika soko la 'Smartphones' za 5G

    Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imekuwa kinara katika soko jipya la 'Smartphones' zenye uwezo wa 5G ikiweza kuzalisha simu za 5G takribani robo tatu ya uzalishaji wote ulimwenguni katika kipindi cha robo ya tatu (Third Quarter) kwa mujibu wa utafiti kutoka IHS Markit | Technology...
  2. JamiiForums Tanzania Vifupisho vinavyotumika sana kwenye mitandao ya kijamii

    Ni ukweli usiopingika kwamba maendeleo ya sayansi na teknolojia, yamefanya matumizi ya intaneti kuongezeka sana. Matumizi ya intaneti nayo yamekuja na mambo mapya, katika ulimwengu wa sasa, mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii, kama Facebook, Instagram, Whats App na kwingineko ni kitu cha...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada betri ya simu, aina: Freetel Priori 4

    Msaada.. Natafuta betri ya simu, aina ya simu: Freetel Priori 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…