Kama unadhani Bugatti Chiron ya dola milioni 3.5 (TSh bilioni 9.5) ndiyo mwisho wa matumizi ya kijinga ya fedha, basi hujaiona 1955 Mercedes-Benz 300 SLR Uhlenhaut Coupé iliyouzwa kwa dola milioni 142 (TSh bilioni 380)!
Kwa bei ya Mercedes hii moja tu, unaweza kununua msururu wa Bugatti Chiron...