Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki
mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai
kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa
Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi...