singo

Singo is a village in the far north of Ivory Coast. It is in the sub-prefecture of Blességué, Kouto Department, Bagoué Region, Savanes District.
Singo was a commune until March 2012, when it became one of 1126 communes nationwide that were abolished.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa makini na mwanamke anayejiona yupo singo kwenye mahusiano

    Hata ukiwa naye kwenye mahusiano we sio namba moja kwake. Mwanamke ambaye bado anatafuta mwanaume. Mwanamke wa hivyo atakuumiza kichwa. Atakua na wewe kwa maslahi fulani tu wala si upendo. Atakutumia tu. Akishapata anachokitaka atakuacha, unabaki na maumivu. Utamjuaje? Dalili kubwa ni hizi...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nani anapokea mahari kwa binti aliyelelewa na mama pekee?

    Huyu binti kalelewa na mama yake pekee yake. Baba yake yupo hajafa ila binti hajawahi kukutana ana kwa ana na baba yake wala katika upande wa baba yake hamjui ndugu yeyote. Je, kwa scenario kama hiyo binti anafaa kutolewa mahari na kuolewa? Na taratibu za mahari zipoje? Kwani navyojua mahari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…