Majira ya Saa 1:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki,Mnyama mkubwa mwituni, Simba SC watashuka dimbani katika dimba la Benjamin Mkapa kuwakaribisha wana alizeti Singida Big Stars.
Mechi inategemewa kuwa ngumu, maana katika mchezo wa kwanza pale Liti, Singida, timu hizo zilitoshana nguvu...
Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE ninavyojua Watendaji wote wa Klabu hii ni Wasomi na Watu makini hawezi kuwa na Mapungufu haya...
Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba.
Imeisha hiyo.
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu ya NBC za Tanzania Prisons na Singida Big Stars kwa kosa la kusajili wachezaji wenye mikataba na klabu zingine.
Uamuzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji umefanywa...
Inakuwaje mwamuzi wa ligi Kuu anawaonyesha Kadi za njano Wachezaji 2 àmbao hawakufanya makosa? Yaani kosa anafanya mwingine Kadi anaonyeshwa mwingine?
Kelvin Yondan na Juma Mahadhi wameonyeshwa Kadi za njano wakati hawakuhusika kwenye matukio.
Waamuzi wa TFF mnaboa mpaka mnakera.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.