singeli utambulisho tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mwana FA: Tuisafishe Singeli iwe utambulisho wa Taifa. Wasanii wapate miongozo, sio lawama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni Tanzania hivyo ametaka Watanzania kuwaunga mkono Wasanii wa singeli, kuusafisha muziki huo, kuwaelekeza...
  2. Erythrocyte

    Profesa Kabudi atangaza kusambaza Singeli Dunia Nzima. Atatumia njia gani? Anajua mwenyewe

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania. Kabudi alitoa kauli hiyo leo alipotembelea Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo alipokelewa na...
Back
Top Bottom