Samaleko...
Nilikutana na binti fulani wenyewe wanasema English figure!, kitoto cheupe rangi ya mtume, kilichonipendeza zaidi ni muonekano wa sura yake!, anamacho fulani hivi akikuangalia unaweza ukahisi anakutaka ama ameshakukubalia!.. basi hicho ndicho kimenifanya niwe taabani majinuni...