simuzakisasatanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    UZI …. Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo … Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni …. Kivipi ?…. Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
  2. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel?

    Pengine wewe unayesoma uzi huu unawaza ni lini utapata pesa ya kununua simu lakini kwa mtu mwingine hali ni tofauti kabisa ...! Kivipi ,? ..... pesa Anayo lakini hajui ni simu gani nzuri atanunua kwa ajili ya shughuli zake . .... Je , Wewe upo kundi gani la kwanza au la pili ? .........Jibu...
Back
Top Bottom