Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026.
Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamuโฆ lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! ๐
๐ 1. IMEI & LOCK
Hakikisha IMEI...