Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika.
Kisha baada ya...
Wadau habari zenu, simu yangu iliibiwa juzi kati mtu alichomoa dirishani. Sasa nimeicheck kwa kutumia google inaonekana mara ya mwisho ilisomeka maeneo fulani(napajua) pia nimeitumia Samsung Find ambayo inaweza kupata location ya device hata ikiwa offline na inaonekana ipo maeneo fulani ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.