Wiki hii yote nimesoma threads kadhaa za comrade Zemanda akiongoza movement ya kutokomeza ma-simp. Mimi kama askofu mkuu wa injili ya redpill hapa jf nitakua sijatenda haki nisipoandika chochote kuhusu hii movement.
Vijana acheni kutukuza na kuingia gharama kwa ajiri ya wanawake ambao...