simp

Simp ( ) is an internet slang term describing someone who shows excessive sympathy and attention toward another person, typically to someone who does not reciprocate the same feelings, in pursuit of affection or a sexual relationship. This behavior, known as simping, is carried out toward a variety of targets, including celebrities, politicians, e-girls, and e-boys. The term had sporadic usage until gaining traction on social media in 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta Ajira

    Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua. 2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako...
  2. Natafuta Ajira

    Don't be a simp

    Wiki hii yote nimesoma threads kadhaa za comrade Zemanda akiongoza movement ya kutokomeza ma-simp. Mimi kama askofu mkuu wa injili ya redpill hapa jf nitakua sijatenda haki nisipoandika chochote kuhusu hii movement. Vijana acheni kutukuza na kuingia gharama kwa ajiri ya wanawake ambao...
  3. Zemanda

    Masimp a.k.a mwanaume zoba, mwanaume ndezi, mwanaume mzembe

    Ingawa ukarimu na kujali wengine bila misingi ya upendeleo na ubaguzi ni jambo jema sana ila kusimp ni tabia ambayo inamfanya mtu kutoka nje ya mipaka ya ukarimu na utu na kuanza kuingia katika muendelezo wa matendo ya kujidhalilisha na kujidhurumu kihisia na kujishushia heshima na utu wake...
Back
Top Bottom