Wakuu habari ya wakati huu.
Awali ya yote naomba moderator msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine huu unajitegemea.
Ukisoma kitabu cha biblia ambacho ni kitabu takatifu kwa waumini wa dini ya kikristo ipo stori inayozungumzia namna utawala wa mfalme nimrodi baada ya kufanya dhambi nyingi...