Wakuuu,
Bwana Yesu amefufuka Alhamdulillah, Pasaka Mubarak kwenu wote Wakrislam.
Kama ilivyokuwa kwa Merry Eid hawakuwa na jambo dogo, pilau la maana nlikula bana, sasa tukumbukane kwa mialiko kwenye hili. Uzuri waalikwaji hatuna neno, tupo kamili na zana zetu, hatukupi gharama za usafiri...