siku ya idd

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwehu ndama

    Taarifa: Kitimoto yaadimika siku ya Idd

    Duru za kuaminika zikimuhusisha jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara wa vilevi pamoja na nyama ya nguruwe(kitimoto) maeneo ya misufini huko morogoro , Zinadai Leo biashara ya kitimoto na bia imechanganya sana. Duru zimeenda mbali na kudai kuwa mpaka kufika majira ya saa 9 mchana wa...
  2. covid 19

    Kuna masheikh wengine wananongwa sana eti sheikh wetu amenitoa kwenye group la whatsapp la kugawa nyama siku ya Eid

    Sasa najiuliza kosa langu ni nini yani group nipo na ni mchangiaji mzuri tu wa mada mbalimbali ila aliona sijui namzidi umaarufu leo nimefika sehemu yenye wi-fi nataka kuuliza kama nyama imeshaanza kuja msikitini nakutana na sms ya admin removed you sasa kwanini asingenitoa toka muda yaani...
Back
Top Bottom