siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zangu ni CCM, walikuwa wakinishangaa kwa nini siwaungi Mkono. Jana sabato wakaniuliza kichokozi vipi mwanamageuzi!

    Hahahaha! Nimeona niwasalimu kwa kicheko. Miaka kadhaa iliyopita, ndugu zangu ambao baadhi Yao ni wananafasi za uongozi huko CCM walikuwa wakichukizwa Sana na Tabia yangu ambayo kwao waliona haina Tija. Mara kwa mara walikuwa wakinishinikiza niwe upande wa CCM kama wao walivyo. Robert huko...
  2. JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kuachana na siasa

    Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote. Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA. Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake. Sitaki...
  3. JamiiForums Tanzania Truth : kwa mwenendo wa siasa za Tz naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu

    Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni. naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs. It's very painful. NB: mimi sio mwa CCM.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe mwanasiasa mwenye akili nyingi

    Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha ACT na amewaachia wengine uongozi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muda wa Tapeli wa kisiasa kutumiwa na CCM.

    Alianza Makala (Katibu wa Itikadi CCM) kutabiri "laja varangati la haja ndani ya Chadema." Na kweli utabiri huo umetimu. Uzuri wa CCM hukutumia na wakijridhisha huna madhara-wanakutupa kama ganda la ndizi. Sasa, kama walivyopata kutumika waliopita, ndivyo TAPELI LILILOBAINIKA/LILILOJIBAINISHA...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

    Husika na maada tajwa hapo juu, Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi...
  7. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA: Watu wanaanza kutuelewa kwa nini tunawaambia, wasishabikie vyama vya siasa, washabikie Rais wao wa nchi.

    Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani: Nchi ni Rais. Rais ni nchi. Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa katiba iliyopo, still Lissu anaweza fanya harakati bila Chama, hilo linashindaka pia? Kuitisha maandamano huhitaji kuwa kwenye Chama cha siasa

    Ma Keybord worriour wenzangu, kwa katiba mbovu tulio nayo still bado hata bila chama unaweza anzisha harakati zako kikubwa uwe na watu nyuma yako. Unaweza hata ingiza watu Barabarani wakinukishe, sasa hili tunashindwa vipi? kwani ni lazima iwe ni ndani ya Chama? na hicho chama kiwe ni CDM...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  11. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Mbowe ndo GOAT , Greatest of all time katika siasa za upinzani

    Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema. Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi. Linda heshima yako usikubali kudanganyika . Umri wako Heshima yako Financial status Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
  12. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania hazitabiriki, Kwa mara ya kwanza Mbowe anaingia katika uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kama underdog

    Pole Sana Mh Mbowe na hongera Sana , sikutegmea Kama ungeingia katika uchaguzi huu wa mwenyekiti Taifa Kama Underdog Yericko Nyerere achana na kuafanya ibadi zisizo eleweka maana dua za mizimu yako haifanyi Kazi tena. Lucas Mwashambwa pole Sana na utaratibu wenu wa nusu mkate unaenda kukomeshwa
  13. JamiiForums Tanzania Lissu usiogope kuanzisha Chama cha Siasa, Watanzania tunaopenda mabadiliko tupo tayari kuchangia uendeshaji

    Wakuu habari.. Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi. Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za...
  14. JamiiForums Tanzania Nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela halafu shabikieni mpira achaneni na mambo ya siasa

    Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atagombea uenyekiti , naachana na kufatilia siasa za Tanzania.

    Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu. Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Familia yangu imeniambia niachane na siasa

    Kumekucha huko! Bwana mkubwa Mbowe amedai kwamba familia yake imechoshwa na mambo yanayomkuta mzee wao sasa wamtaka apumzike na siasa na akafanye mambo mengine. Hoooo! Sio mbinu ya kinamna ya kujikacha katika kuonyesha nia ya kuwania nafasi ya uwenyekiti wa CHADEMA? ======================...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tangu jana nimehifadhiwa ndani kama mwali. Wanaodhani mimi nimepanga mkusanyiko huu sio kweli

    Wakuu, Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu. Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
  18. E

    JamiiForums Tanzania Katika siasa, hekima za Freeman Mbowe kama Mwalimu Nyerere

    Ikumbukwe mwaka 1985, Mwalimu Julius Nyerere aling'atuka madarakani huku bado wananchi wengi wakipenda aendelee kuongoza. Hali hiyo ilijiri wakati nchi ilipokuwa ikikumbwa na changamoto kubwa za kiuchumi kufuatia masharti magumu ya mashirika ya fedha ya Kimataifa (WB na IMF), na miaka michache...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ilianza jamuhuri kwanza,Kisha vyama vya siasa halafu awamu za uongozi na majina ya watu baadae,kwanini jamuhuri inadogoshwa!!?

    Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!? Ni nani tumpe...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Siasa ni akili sana. Akina bashiru, polepole, palamagamba nk wamemtumia mpina kuushale utawala wa Samia mwishowe kapotea mazima.

    Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao. Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…