siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Tafuta pesa achana na siasa za Tanzania. Je, wajua Tanzania siasa ni ajira?

    Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani (Family poverty life cycle) Mawazo yako ndio msimamo wa maisha ya watoto na wajukuu zako baadae...
  2. Mbeleni Watanzania kushinikiza Rais Samia aongezewe muda

    Baada ya Rais Samia kumaliza kutawala muhula miwili kwa mujibu wa katiba Watanzania tutajitokeza kuandamana kumtaka aendelee na tutashinikiza bunge lifanye mabadiliko Rais Samia aongezewe Muda pengine hadi atakaposema imetosha. Rais Samia anakuwa Rais wa kwanza kupaisha uchumi na hali za maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…