siasa za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Tatizo siyo mchango. Tatizo ni maneno ya uchonganishi yaliyotangulizwa

    Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki. Mchango ambao kwanza umetolewa baada ya tukio la Mbeya, pia umetangulizwa Kwa maneno ya kumponda Mwenyekiti...
  2. PreGE2025 Dk. Nchimbi: Wana CCM na Wanasiasa wa Vyama vingine tuchunge ndimi zetu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu. Balozi Dk. Nchimbi ameyasema hayo jana August 13, 2024 alipokua akiongea na Wananchi katika mkutano wa...
  3. J

    Yaani kwa sasa Happi na Richard Kasesela ni Mabosi wa Mchungaji Msigwa, Dunia ina uonezi sana

    Kuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa Komredi Kasesela Mnec Dunia simama nishuke Mlale Unono 😀😀😀🔥
  4. Huruma ya Rais Samia Suluhu Hassan yawanusuru vigogo wa kisiasa kusota lupango

    Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini, Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote.. Soma Pia...
  5. Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

    Ndugu zangu, Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala... Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe...
  6. L

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Tunazima zote tunawasha Kijani

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Mwenyewe alichoandika mchungaji peter Msigwa,ambaye ameonekana kuwa na furaha kubwa sana tangia ameingia na kujiunga na CCM.muda wote anaonekana ni Mwenye tabasamu ,furaha na kicheko. Tofauti na alipokuwa CHADEMA alikuwa muda wote amekunjamana sura kwa mawazo na...
  7. Upinzani nchini sasa hivi umekua kama vile nyumba ya kupanga ya baba mwenye nyumba asie tabirika

    Yaani mguu nje, mguu ndani, wakati wowote mwenye nyumba anatoa notice ya mtu kutimuliwa pangoni na wakati wowote vile vile uzalendo unamshinda mpangaji anaondoka anahamia kwingineko. Ni kirusi gani sijui kimewatembelea hawa majamaa huko kwe vyama vyao? kila uchwao miongoni mwao ni kutuhumiana...
  8. Luhaga Mpina: Tutapoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 1 kutokana "Dili" za Sukari isiyo na Ubora iliyoingizwa nchini

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa lililopo mkoani Simiyu Luhaga Mpina akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mpina (Mpina Stadium) Jumapili Agosti 11, 2024. Mpina amesema "Baada ya mimi kusimamishwa vikao 15 kwa makosa ya kusingiziwa na kuonewa na pia kutoridhika na...
  9. PreGE2025 Makalla amkaribisha Lissu CCM, ajibu kuna nini mpaka ahamie huko?

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama hicho akidai tayari chama chake kimeacha misingi yake. Makalla ameeleza hayo Agosti 9, 2024 kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
  10. PreGE2025 Wakati CCM ishaanza kampeni za Urais wa uchaguzi Mkuu wa mwakani, je upinzani unangoja Nini kumtangaza mgombea wake?

    Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini Kwa sasa, ni dhahiri kuwa CCM ishaanza rasmi kumnadi mgombea wake wa Urais wa mwakani, ambaye ni Samia Suluhu Hassan. Tumeshuhudia katika ziara alizofanya majuzi kwa madai kuwa ni ziara za kiserikali katika mikoa ya Rukwa na Morogoro, ambapo ziara hizo bila...
  11. M

    Siasa iwe kama mpira wa miguu. Usajili uwe kwa msimu

    Suala la kuhama Mwanasiasa kuhamia chama chengine iwe kwa msimu hasa kipindi Bunge lishavunjwa ili kujenga heshima katika siasa. Mwanasiasa anaetaka kuhamia chama chengine asubiri muda huo. Hali ilivyo hivi sasa Watanzania wanyonge wanampigania Mwanasiasa ashinde uchaguzi hali na mali hadi...
  12. J

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Kwa nguvu ile ile na Juhudi zile zile za CHADEMA nitazunguka nchi nzima kuelezea Utakatifu wa CCM, msidanganyike na Wapinzani

    Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na Utakatifu wa CCM Mchungaji Msigwa amewataka Wananchi wasikubali kudanganyika na Wapinzani kwani Shetani...
  13. Z

    PreGE2025 Hakuna Uadui wala Urafiki wa Kudumu kwenye Siasa Lissu karibu CCM ulitumikie Taifa kwa maono uliyonayo

    Kwa namna Mch Peter Msigwa kada mpya wa CCM anavyoieleza CHADEMA ilivyo. Mhe Tundu Lissu sioni haja ya wewe kuendelea kujitesa ndani ya CHADEMA wakati wewe kwenye Taifa hili ni hazina Kila mmoja anajua na kukubaliana na hili. Mhe Tundu Lissu siku ukija CCM utapokelewa na marafiki zako...
  14. Tetesi: Lissu karibu CCM Upumzike

    Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM Kwa hali ilivyo, Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa Huenda CCM...
  15. Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

    I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara). II. Hii ni kutokana na CV ya Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzingatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na...
  16. TFF mmeruhusu siasa za CCM kwa Mkapa, leo msiwaonee CHADEMA

    Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu. Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao. Hayo yote yakiendelea huku TFF...
  17. L

    David Kafulila Alisema Ukweli kuwa CCM Inabadilika kulingana na wakati na mahitaji ya wakati

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Kamishina wa PPP,Msomi wa BBA,Kijana Mchapa kazi,mzalendo , muadilifu na akili kubwa amewahi kusema ya kuwa CCM inabadilika kulingana na wakati na mahitaji ya wakati . akaendelea kusema ya kuwa ndio maana huwezi ukawakusanya wapinzani wa CCM...
  18. J

    Tukumbuke: Komredi Polepole ameweka rekodi ya kuipa CCM Ushindi wa 84% kwa Rais wa JMT na 98% kwa Wabunge wa Kuchaguliwa 2020!

    Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025 Ahsanteni Sana 😄😄
  19. Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

    VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona. MbagalaZmaHome yonapavea@gmail.com 0713802226 Kama ingetokea maajabu wananchi wa Tanzania wakafanya maamuzi ya kizwazwa kukitoa madarakani Chama Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…