siasa na wasanii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    Bila shaka kuna kundi kubwa la wasanii linajutia uamuzi wa wao kuiunga mkono CCM

    Nimekaa nikachunguza kwa makini nimegundua kuna kundi kubwa la wasanii linajutia kuunga mkono ccm badala ya wananchi . Hapa sana sana nawalenga haswa wale wasanii wa low class ambao walitumika kama toilet paper na kwa sasa kazi yao imekwisha wamerudi uraiani kuona hali halisi ya maisha na bila...
  2. W

    PreGE2025 Tazama Msanii asiyeona alipoimba wimbo wa papo kwa papo kuhusu uchaguzi

    Magesa Inyasi, mwenye ulemavu wa macho na mkazi wa Musoma Mjini mkoani Mara amejipatia umaarufu mkoani hapo kutokana na kipaji chake cha kipekee cha kutunga nyimbo za papo kwa papo kulingana na matukio ya kijamii, kidini na kitaifa, huku akitumia mdomo na vidole vyake kuiga midundo ya vyombo vya...
  3. Mindyou

    PreGE2025 Picha: Chegge, AY na Madee (Samia Kings) watinga bungeni

    Wakuu. Yaani siku hizi bungeni kila mtu anaenda. We sifia tu kesho, unalipiwa flight unaenda kikao.
  4. Mindyou

    PreGE2025 Professor Jay: Watanzania kumshambulia AY kwa kuonekana kwenye majukwaa ya CCM sio sawa. Wasanii wengi pia wapo CHADEMA

    Wakuu Msanii Profesa Jay amesema baadhi ya Watu wanaowashambulia Wasanii kama Ay na wengine kutokana na kupanda kwenye majukaa ya Vyama vya siasa, hawawatendei haki kwasababu Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia. Kwenye mahojiano maalum na Mtangazaji Millard Ayo, Profesa Jay ameeleza yafuatayo...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Wasanii wakata Keki ya birthday ya Rais Samia na kutoa zawadi ya Mitungi Soko la Feri! Wakitoka hapo wanapitisha kikombe!

    Wakuu, Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache? ===== Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamesheherekea siku ya kuzaliwa ya Rais...
Back
Top Bottom