Ni Bora ibada ikaongozwa na katekista kwasababu atatupitisha kwenye neno la Mungu kama lilivyo destur ya majukumu yao,
kuliko hawa maaskofu wetu ambao wanapiga siasa kwenye madhabahu ya Mungu, naona kama Wana frustration kubwa sana,
NB: Huwezi ukashindana na serikali hata ufanyaje
Kanisa si mahali pajukwaa la kisiasa, kuja kanisa umevaa mavazi ya chama chako zinapaswa kupaki nje huko.
Maandiko matakatifu ni sauti ya Mungu, kwahiyo kanisani ni shughuli za Ibada, sala, kumtukuza Mungu, kuongea matakatifu alisema Askofu Rweyongeza
Huku ndipo serikali ilipofikia. Magufuli pamoja na ukali wake wote, pamoja na mvutano mkubwa baina ya wateule wake na Gwajima, hakuwahi kuthubutu kumfungia Kanisa.Unajua kwanini?
Mahala ambapo neno la Mungu linahubiriwa, mahala ambapo watu wanapata huduma ya kiroho ni mahala ambapo hata kama si...
Viongozi wa dini acheni kupenda fedha kutoka mifukoni mwa watawala, wenzenu wameshashtukiwa huko Kenya sasa vijana wameamua kujisimamia
Siku ikitokea madai na maandamano ya vijana nchini hamtakuwa na nguvu ya kukemea maana mmechagua kula makombo kwenye sahani za watawala.
Hizo warsha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.