Katika zama ambazo kila jambo linapimwa kwa miwani ya kisiasa, uzalendo umegeuzwa kuwa silaha ya mivutano badala ya kuwa daraja la mshikamano. Tanzania, kama nchi yenye historia ya mapambano ya ukombozi na mshikamano wa kitaifa, ina kila sababu ya kuenzi dhana ya uzalendo. Lakini swali linabaki...