Elimu siyo tu madarasa ya kifahari, bali ni msingi wa maadili, busara, na hekima. Watoto wa viongozi wanaosoma shule za kawaida kama St. Kayumba hukutana na changamoto nyingi zinazowajenga kiakili na kimaisha. Hawa watoto hujifunza kuwa na nidhamu, kuwaheshimu watu wa kila hali, na kuthamini...