Mwenye akilpi ndogo kama punje ya haradali atabisha.
Ukweli ni kwamba rais Magufuli alikuwa ameliunganisha taifa kwa kila namna. Na ndio maana hata aliposema tuweke siasa kando hata Wananchi wa kawaida hawakulalama. Maana waliona anapiga kazi kwa wananchi wote.
Aliunganisha wananchi wote wa...
Kimsingi huwa nashindwa kuelewa kivipi msimamo wa Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani ulibadilika?.
Wengine usema Mandela aliyeingia gerezani na Mandela aliyetoka gerezani ni wanaume wawili tofauti.
Baada ya kusoma historia yake unaweza kuona Mandela aliyefungwa jela alikua ni wamoto sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.