shughuli za kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Mnyika: Wana CHADEMA endeleeni na shughuli za siasa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa mwenendo wa shauri la maombi ya marejeo ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama umeendelea kufichua ukweli kuhusu tafsiri sahihi ya amri ya zuio lililotolewa Juni 10, 2025. Akizungumza mara baada ya...
  2. A

    DOKEZO Matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika matumizi ya chama

    CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?! Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang Mkoani Manyara, na zile zinazotumika na taasisi za ulinzi Tanzania licha ya kupakwa rangi za CCM bado...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Bashungwa: Hali ya Usalama Nchini ni Shwari, Wananchi muwe Huru kushiriki shughuli za Kisiasa

    Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.
  4. BigTall

    Alichoandika Wakili Mwabukusi kuhusu CHADEMA kuzuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Kisiasa

    IAM DEEPLY CONCERNED. YAWEZEKANA TUKO KATIKA JANGA LA KISHERIA – UHALISIA WA KUTISHA KIDEMOKRASIA !? Hili linaweza kuwa moja ya zuio la kipekee kabisa, la upande mmoja, kuwahi kutolewa katika historia ya nchi zinazofuata mfumo wa Common Law. Kwa kawaida, zuio (injunction) hutolewa kwa lengo...
  5. DuaZaMama

    PreGE2025 Kawaida: CCM haihusiki kuzuiliwa kwa CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa, ni migogoro ndani ya chama chao

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Ni sawa kwa Mkurugenzi wa Manispaa kuandika barua kwa niaba ya CCM? Je, anaweza kuandika kwa niaba ya CHADEMA au ACT pia?

    Wakuu, Jana tar 6/7/2024 CCM walikuwa wanazindua Kampeni kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ushiriki wa Vijana katika Chaguzi hizo katika Uwanja wa Mkapa, ambapo ilihitaji ushiriki wa wanafunzi pia ili kukamilisha tukio hilo. Shughuli ni za kichama, ambapo waliotakiwa wakodi magari hayo...
Back
Top Bottom