shirikisho la soka afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Bilionea Patrice Motsepe kikaangoni katika kesi nzito ya madini ya shilingi bilioni 490 nchini Tanzania

    Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na bilionea wa Afrika Kusini, Patrice Motsepe, anakabiliwa na changamoto kubwa ya kisheria nchini Tanzania, katika kesi yenye thamani ya takriban dola milioni 195 sawa na Tsh. 490.7 Bilioni, inayohusiana na mgogoro wa uwekezaji katika mradi wa uchimbaji wa...
  2. U

    Tetesi mechi ya kenya vs Madagascar kurudiwa uamuzi wa shirikisho la soka Afrika

    Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF. The body will release the same Next Week. CAF DECISION STATEMENT Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
  3. Waufukweni

    Rais wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwania tena Urais 2025

    Rais wa sasa wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe ametangaza kuwania tena kiti hicho katika uchaguzi utakao fanyika Machi 2025. kufuatia maombi kutoka kwa wanachama wa CAF, marais wa vyama vya kanda na washikadau Hatimaye Rais wa CAF DR Motsepe, amekubali kuwa mgombea katika...
  4. Ubaya Ubwela

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 . 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60 points 4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points 5. Zamalek (Egypt) – 48 points 6. RS Berkane...
Back
Top Bottom