shilole apata ajali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums LAAANA YA OKTOBA 29 INAVYOTUTAFUNA, SHILOLE APATA AJALI

    Ukikaa na walio barikiwa utabarikiwa tu ukikaa na walio laaniwa tutalaaniwa wote, mvua inapo goma kunyesha mahala Hadi wachamungu huwa wanateseka pia, unajua SABABU? Maandiko yananifundisha kuwa UKIONA MTU anakosea ukanyamaza basi tambua SIKU adhabu ikishuka haito mdhuru pekee yake Bali na wle...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Shilole apata ajali akitoka kushiriki 'Pilau day' Kigoma

    Msanii wa muziki Shilole amepata ajali ya gari akiwa njiani kurejea Dodoma kutoka mkoani Kigoma, alikokuwa ameshiriki katika shughuli ya kijamii iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Babalevo, iliyojulikana kama Pilau Day. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Mbunge wa...
Back
Top Bottom