sheria ya malezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Baba anakataa kutoa matunzo ya mtoto: Sheria inasemaje?

    Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu. Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law of Marriage Act, baba ana wajibu wa kutunza mtoto hata kama mtoto anaishi na mtu mwingine. Kifungu...
  2. JamiiForums Tanzania Jinai ya kudanganya taarifa za Cheti cha kuzaliwa cha mtoto

    Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae. Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au kusema kuna uovu wenye nafuu na usio na nafuu, uovu ni uovu tu. Nazungumzia tabia ya wanawake wa...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Ndoa kuvunjika, sheria inasemaje kuhusu matunzo ya mtoto? Ni hiari au ni lazima Wazazi kutunza watoto?

    Jamaa amezinguana na mkewe. Mkewe kakimbilia kufungasha mizigo na vyombo vya ndani. Ameacha amefanya uharibifu kwa kuvunja simu ya msela kwa makusudi. Simu hiyo alinunuliwa na mme wake sasa wakati anaondoka mme alimtaka aiche (lengo mme akague kuona kama kuna ajenda iliyojificha yq yeye...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria ya malezi iseme; kama Mwanamke hawezi Kulea mtoto ampeleke Kwa Baba yake. Hiyo ndio Mantiki na si vinginevyo

    SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa wanaotunga hizi sheria uwezo wao wa kufikiri ukoje nazungumzia hizi sheria za mahusiano hasa ya Mume na...
  5. JamiiForums Tanzania Sheria ya Malezi: Ukitelekeza Mtoto Jela Miezi 6 au Faini Milioni 5

    Moja kwa Moja kwenye mada. Kwa wale ambao Huwa mnazaa na kutelekeza Watoto mjiandae vizuri maana Sheria ya Malezi imeboreshwa.. Ikibainika umetelekeza mtoto awe wa Nje ya ndoa au ndani basi adhabu yake ni jela Miezi 6 au Faini ya sh.Milioni 5 au vyote Kwa pamoja.. Ila Kwa mtizamo wangu mbona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…