Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa.
Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono maamuzi haya na kusema kuwa hili ni wazo zuri halijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru.
Leo Waziri...
NB: Ya Magufuli ni yake Samia.
====
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
Comedy zilizofanyika zinatosha kwa hiyo miaka yote, ni muda sasa kuangalia mantiki ya kinachooneshwa, kama wanafanya vitu ambavyo haviendani na uhalisia ni bora wakaailika wachekeshaji basi. Ule ukakamavu waliokua wanaonesha nib fake tu
Shalom from Jerusalem,
Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu...
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
Ndiyo! Hakuna la kumfanya, kwasabb katiba imesema rais hashitakiwi kwa jambo lolote.
Na ushauri yeye ndiye anaamua aupokee ama aukatae.
Kwa katiba hii atakuja kutokea rais ambaye ataamua:-
1. Kuzipiga marufuku na kuzifuta kabisa sherehe za Uhuru.
2. Kuulipua kwa mabomu na kuusabaza kabisa...
Wakulima wanahali mbaya kuzidi hata enzi za mkoloni. Uhuru wao bado kufika.
1. Wakati wa mkoloni kulikuwa na bodi za mazao, lengo lake ilikuwa ni kupanga bei na kumnyonya mkulima. Tulipopata uhuru zikaendelea na kuwekwa kitu kingine kinaitwa vyama vya ushirika. Hivi vinanunua mazoa kwa bei ya...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
Mkuu wa wilaya ya manispaa Tabora mjini ameonja joto ya jiwe baada ya kutaka kuwachangisha walimu mchango wa sherehe za uhuru na mwenge walimu walimuchachafya kwa hoja kwenye ukumbi wa uhadhili mpaka akakimbia.
Anataka akusanye sh 280,000,000 milions kwa ajili ya miaka 50 ya uhuru na mwenge...