shehe ponda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Ponda aonya ushawishi wa wafanya biashara kwenye siasa

    Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameeleza wasiwasi wake kuhusu wafanyabiashara wenye ushawishi mkubwa serikalini akisema hali hiyo ni tishio kwa maslahi ya wananchi wa kawaida. Akizungumza katika mahojiano maalum na mtangazaji Wilberforce Ngoto kupitia...
  2. K

    Temeke Inahitaji Mwana Mapinduzi, Siyo Mteule wa Juu - Shehe Ponda Turufu sahihi kwa wakazi wa Jimbo la Temeke

    Temeke Inahitaji Mwana Mapinduzi, Siyo Mteule wa Juu - Shehe Ponda Turufu sahihi kwa wakazi wa Jimbo la Temeke Katika mwaka huu wa uchaguzi, Temeke iko kwenye njia panda ya kihistoria. Wananchi wana nafasi ya kuchagua baina ya kiongozi anayewakilisha maisha yao ya kila siku, na yule...
  3. BLACK MOVEMENT

    Daraja la Magufuli ni moja ya White Elephant Project kubwa sana katika nchi hii. Daraja litakuwa la kupigia picha na kurekodi Movie

    Hakuna Volume ya magari ya mizigo kwenye Barabara ya Geita Mwanza, na nature ya uchumi wa Tanzania Volume zinatoka Bandarini Dar kuelekea Mikoani na kutoka Mikoani kuelelekea Dar, Sasa mkoa wa Geita una Volume ya mizigo? ya kupitiapale kwenda Dar? hakuna zaidi ya dhahabu labda tusafirishe...
  4. BLACK MOVEMENT

    Shehe Ponda yuko ACT Wazalendo kwa mission Maalumu hasa kipindi hiki, na hio mission kaianza jana.

    Shehe ponda pale Act Wazalendo kapelekwa kwa kazi maalumu ya ku convice watu wa imani washiriki uchaguzi, na hio kazi kaianza jana kupitia tamko la shura ya Maimam na ataendelea nayo kwa muda mrefu sana. Na kuanzia Jana na kuendlea tegemea Shehe Ponda kuwa na ukosoaji soft soft kwa Watawala...
  5. Fbn

    Katika nchi hii shekhe Ponda ndugu zake wengi wamekuwa wanafiki tokea harakati hadi sasa

    Huyu mzee alipandikiziwa chuki na chama hiki hiki kipo madarakani ila Mungu aliweza kumfikisha mpaka leo. Hata leo ukija na dini ya shetani, CCM inaweza kutafuta ajenda wanapojua wao kuzima Harakati za mabadiliko. Ila kwa sasa mwisho umefika kwa CCM mshatumia udini,ukabila naona sasa mshakuja...
  6. BLACK MOVEMENT

    Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

    Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa. Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Shehe Ponda: Tumeshtushwa na serikali kumpa kesi ya uhaini Lissu. Ukamataji ufanywe baada ya upelelezi kukamilika

    Wakuu, Ni bandika bandua, huku Askofu Bagonza kule Sheikh Ponda, yaani kuna watu huko vichwa vinawaka moto :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ==== Sheikh Ponda ameandika haya kupitia ukurasa wake wa X; "VIONGOZI WA DINI tumestushwa na hatua ya serikali kumpa kesi ya uhaini kiongozi mkuu...
  8. Erythrocyte

    Shehe Ponda aliamsha, adai Mashehe 300 wameswekwa rumande miaka 10 bila kesi

    Taarifa iliyotolewa na Shehe mwenye ushawishi mkubwa sana kwenye eneo la maziwa makuu, Ponda Issa Ponda na kunukuliwa na gazeti la Raia Mwema, anaeleza kwamba kuna zaidi ya mashehe 300 waliorundikwa rumande bila kupelekwa mahakamani kwa zaidi ya miaka 10. Bali haijafahamika sababu hasa ya...
Back
Top Bottom