shangwe ayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Shangwe Ayo: Tunajua mmejazwa uoga! Na huu ndio mtaji wa CCM na Serikali

    Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Shangwe Ayo amesema "Tunajua mmejazwa woga! Na huu woga ndio mtaji wa CCM na Serikali. Sasa niwaambie Wanashinyanga, woga haujawahi kuleta matunda kwa yeyote."
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

    Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth...
  3. Roving Journalist

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT, Shangwe Ayo achukua fomu ya ubunge wa Arumeru Mashariki

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Arumeru Mashariki. Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.
  4. Mindyou

    Chama cha ACT Wazalendo wataka ripoti ya TAKUKURU iwekwe wazi

    Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora ACT Wazalendo, Shangwe Ayo, ametaka ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU),ili iweze kujadiliwa kwa kina na wananchi Shangwe ametoa kauli hiyo ikiwa imepita siku moja tokea taarifa ya TAKUKURU kuwasilishwa Kwa...
  5. Cute Wife

    LGE2024 Shangwe Ayo (ACT Wazalendo): Tunakwenda kumuondoa shetani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi, na Mahusiano ya Umma wa chama cha ACT Wazalendo taifa, Shangwe Ayo ametaka sheria za uchaguzi za serikali za mitaa zifuatwe ili wananchi wa watimize azma yao ya kupata viongozi bora watakaowatumikia kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Shangwe...
Back
Top Bottom