shahidi wa siri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    PostGE2025 Lissu kwa Shahidi (P9): Sijamalizana na wewe. Nataka ukitoka hapa ukawaeleze Mapolisi kwamba kule (Kizimbani) hakufai!

    Haya ndugu zangu Lissu anaendelea kupitisha dozi huko. Hii statement alivyoitoa mahakamani kila mtu alicheka Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi...
  2. McLaren

    Februari 18: Lissu alivyombana shahidi wa siri P7 kuhusu maelezo aliyoyatoa polisi. Kila kitu anasema hapana

    Wakuu, Kwa aliyeelewa maelezo ya shahid naomba anieleweshe. Kajikanyaga mno Lissu alimtaka shahidi aonyeshe kama baadhi ya kauli alizodai zilisemwa kijiweni kwao ikiwemo madai kuhusu Chadema kuzuia uchaguzi, polisi kuiba kura na majaji kuwa vibaraka wa CCM zilikuwa zimeandikwa kwenye maelezo...
  3. Roving Journalist

    Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu: Shahidi wa saba kati ya 30 wa Jamhuri kuanza kutoa ushahidi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo Februari 16, 2025, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Shahidi wa saba anatarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kati ya mashahidi 30 wa Jamhuri, ambapo jumla ya mashahidi hao, 19 ni...
Back
Top Bottom