shabiby

  1. J

    JamiiForums Tanzania Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

    Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo. Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimetembelea mfumo wa ukataji ticket ( Online Booking ) wa Mabasi ya Shabiby, Tuwapongeze Developers wamejitahidi

    Habari JF, Nina safari ya kwenda dodoma Jumatatu, leo nikasema niweke ticket in advance kupitia mfumo wa Shabiby wa ukataji ticket, kiukweli kama mdau wa maswala ya technolojia, huu mfumo umekaa vizuri. Tuwapongeze developers na kampuni nzima ya Shabiby kwa kufanikisha kutengeneza huu mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…