Wakuu,
Akiwa anazungumza hivi karibuni Shaban Pembe amesema kwamba itakuwa ni kitu cha kushangaza kama Wakristo hawatopinga na kukemea maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kwenye siku ya Krismasi
"Itakuwa ni jambo la ajabu wakati wao wanakwenda kwenye ibada zao, kisha kuna genge linaenda...
Sheikh Shaban Pembe ametoa onyo kwa vijana ambao ni Waislamu kutolalamika au kubeba ajenda za watu wengine. Amesema kuwa kutokana na misimamo yao, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita “machawa,” kuwakejeli kuwa hawana PHD na kudai hawajasoma, jambo alilosisitiza halipaswi kuwakatisha tamaa wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.