sgr yapata ajali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    TRC: Ajali imesababiswa na hitilafu za kiuendeshaji

    Shirika Ia Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuhusu ajali ya treni ya EMU iliyokua ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma majira ya saa 2:00 asubuhi Oktoba 23, 2025 Taarifa ya TRC imeeleza kuwa ajali hiyo imesababishwa na hitilafu za kiuendeshaji, tukio hili limetokea kituo cha Ruvu na...
  2. Carlos The Jackal

    Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

    Msigwaaa Kiko wapi 🤣🤣 Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU . Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma . .
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

    Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache...
Back
Top Bottom