Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ujenzi nchini Uganda, Fred Byamukama, ametangaza operesheni kali ya siku 20 ya kuondoa teksi chakavu na zisizotunzwa vizuri barabarani, hasa katika mji wa Kampala.
Kwa mujibu wa agizo hilo, kuanzia Aprili 8 mamlaka zitaanza kuwaondoa barabarani magari yote...
Serikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa.
Kwa mujibu...
Serikali ya Uganda imeweka masharti mapya yanayozuia vyombo vya habari kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano siku chache kabla ya uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Januari 15, 2026.
Kupitia agizo lililotolewa Januari 5 na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Faith Odhiambo, amewakaribisha wanaharakati Nicholas Oyoo na Bob Njagi, ambao walipatikana usiku wa Alhamisi katika mpaka wa Busia baada ya kutoweka kwa siku 38.
Kupitia taarifa aliyotoa katika mtandao wa X, Odhiambo alisema kuwa, kwa kushirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.