Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema sera za wagombea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 bado zimejaa ahadi za kawaida kama ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa Ndege, akiongeza kuwa "Sijasikia mtu akikemea rushwa, haki ya kukutana au hatma ya...
Nchi limeshajichokea kama karai la muuza chipsi wa tandika. Yaan mwaka 2025 mtu anaahidi watato wa darasa la tatu watajua kusoma na kuandika😁?
Mwingine anasema atazuia vitanda 6x6. Unaangalia mwingine anasema ataleta ubwabwa .hujakaa vizuri unaona watoto wanasombwa na gari Moshi kama nguo za...
Baadhi ya viongozi, wanachama na wananchi wakiwa katika Viwanja vya Biafra, Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kusikiliza sera kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 31, 2025.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya...
Salaam ndugu zangu
Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na CHADEMA, Nilidhani kwamba kampeni hizi zitahusisha sera za Wagombea kuwaeleza nini hasa Watafanya ili...
Mimi ni mpiga kura huru. Kama wewe una chama sikudharau wala kukuona huna maana. Kila mtu na kile anachokiamini. Usinidharau pia. Ni dunia huru hii na kila mmoja anapaswa kufanya anachojisikia.
Niliwahi kushawishiwa kujiunga na vyama fulani ila sikutaka ndoa ya hivyo. Sikutaka ndoa ambayo...
Vipaumbele vya wagombea uongozi wote wa CCM, vinaelezwa kwa ufasaha, umakini na kwa mpangilio mzuri sana na unaeleweka kirahisi kwa wapiga kura.
Hii imechochea hamasa kubwa mno kwa wapiga kura wengi zaidi, tena wa vyama vyote vya siasa kujitokeza na kuwasikiliza wagombea vijana wasomi wa CCM...
Unafatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa? Au wewe unachoangalia ni ushindi wa chama chako bila kujali kama kina Sera njema kwa maendeleo ya Taifa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.