sera za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Samia: Upinzani wanaiga sera za CCM

    Mgombea Urais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wapinzani wanaiga sera za Chama Cha Mapinduzi ambazo tayari imefanya.
  2. Mshana Jr

    Sijaona sera ya CCM kwenye dawa za kulevya

    Walau wasingepitiwa na hili janga la taifa linaloangamiza kizazi cha kesho ambacho ndio nguvu kadi tegemewa ya taifa. Je, ni kupitiwa ama kwakuwa wamehamanika?
  3. K

    GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
  4. L

    PreGE2025 Kauli kama hizi haziwezi kuwapumbaza wale waliokata tamaa na sera za CCM. Mageuzi ya kweli ndiyo suluhu, si maneno ya kugawa watu

    Mch. Msigwa anadai "Nilikuwa Kipofu Nikiwa Chadema, Sasa Naona," lakini kauli hii inaweza kuwa ni mbinu ya kisiasa tu ya kujiimarisha ndani ya CCM, chama ambacho wengi wamechoka nacho kwa miaka 60 ya kumudu madaraka bila mageuzi ya kweli. Watu waliostaajabu na utawala wa CCM, waliougua na...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inanadi sera zake sio matusi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano katika kuhakikisha kinaheshimu utu wa watu na kufanya kazi kwa kufuata misingi yake. Soma: Dkt...
Back
Top Bottom