Wakuu,
Nadhani CHAUMMA ndo chama kinachosimamia na kutekeleza Sera zake kwa uwazi
Yaani sera ya Ubwabwa inasimamiwa ipasavyo, wananchi wanakula tena kwa mwenendo huu lazima watu wajae kwenye mikutano yao maana tunatika nyumbani bila bajeti ya mchana tunaenda kula ubwabwa wa CHAUMMA
Heee!!
Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa
===
Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema...
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesisitiza Sera ya chama hicho ya Lishe maarufu Ubwabwa akisema Taifa lisilo na lishe haliwezi kujiletea maendeleo.
Ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua mkutano maalum ya kukaribisha wanachama wapya wakiwamo wa kundi la...
Wakuu,
Kuna vitu bila kujitoa akili huwezi kufanya :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: yaani kijana barobaro na akili zako unapita na kuhamasisha watu kuchagua ubwabwa!
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.