sera ya ardhi tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi

    Wakuu Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania. Pia, Soma Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

    Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera...
  3. Wizara ya Ardhi

    Uzinduzi wa sera ya ardhi ya taifa ya mwaka 1995 toleo la mwaka 2023

    Wizara ya Ardhi inakualika kufuatilia uzinduzi rasmi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la Mwaka 2023) kupitia YouTube Live! 📺 📅 Tarehe: 17 Machi 2025 🕘 Muda: Kuanzia saa 2:00 Asubuhi 📍 Mahali: Mubashara kupitia YouTube channel ya Ardhi TV Mgeni Rasmi: Mhe. Dkt.Samia Suluhu...
  4. Lycaon pictus

    PreGE2025 Moja ya mtaji mkubwa sana wa CCM ni sera ya ardhi ya Tanzania

    Baada ya mwaka jana chama cha ANC kupata kiasi cha asilimia 40 tu ya kura, mwaka huu wamekuja na sera ya kuwezesha kufanyika land redistribution. Kwa miaka yote wazungu wachache wa SA bado walikuwa wanashikilia asilimia 70 ya ardhi yote ya nchi hiyo. Serikali ya ANC kushindwa kuwapatia ardhi...
Back
Top Bottom