sera mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    Huu ni muda muafaka wa kuja na Sera mpya ya ulinzi dhidi ya uvamizi wa kikoloni!

    Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai. Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze...
  2. D

    Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
  3. President of China

    Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

    Utangulizi Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma. Uzinduzi huu unaashiria hatua muhimu katika...
  4. M

    PreGE2025 Lissu hana sera mpya, hatafanikiwa

    Mfano: Maalim alikuwa na kauli mbiu ya kuwakokomboa wazanzibar kutoka Tanganyika. Alieneza sera miaka karibu miaka 40 au zaidi. Sera ilipokolewa na wapinzani na ndani ya CCM ndio upinzani ukashika kasi. Yaliobaki ufisadi, kukuza uchumi ambapo alisema Zanzibar itakuwa ya neema. Hii iliwavutia...
Back
Top Bottom