sekta ya madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi

    Zoom Saturday Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki...
  2. JamiiForums Tanzania Sekta ya madini inavyofungua fursa za biashara, uchumi

    Na Tito Mselem Tanzania ni miongoni mwa mataifa Duniani yaliyobarikiwa zaidi kwa rasilimali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na madini ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza vipato vya Watanzania na uchumi wa Taifa kwa ujumla. Shughuli za uchimbaji wa madini nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

    "Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali," Prof Assad, aliyekuwa CAG Wiki ya asasi za kiraia
  4. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Masisi: Wakubaliana na Rais Samia kuendeleza Sekta ya Madini na kufufua Tume ya Pamoja ya Ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mokgweetsi Masisi amewasili kwa na ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, kuanzia leo Juni 10, 2021 kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Viongozi hao wawili wanatarajia kuzungumzia masuala ya ushirikiano kati ya nchi mbili, uhusiano wa kidiplomasia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…