sekondari za kutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. digba sowey

    KERO Huu utaratibu wa Shule za Sekondari za kutwa kugeuzwa kuwa za Bweni (Kambi) ni kero kubwa. Serikali iko kimya hadi pale madhara makubwa yatakopotokea

    Serikali Ipige Marufuku Shule za Serikali za Kutwa Kugeuzwa Mabweni ya Kambi za Mitihani, Katika miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la shule za serikali za kutwa kugeuzwa kuwa kama shule za bweni kwa wanafunzi wa madarasa ya mitihani yaani kidato cha pili na cha nne. Mabadiliko haya...
  2. Mkoba wa Mama

    Badala ya elimu bure, serikali igharamie chakula cha mchana kwa shule zote za sekondari za kutwa na shule za msingi

    Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
  3. Chachu Ombara

    RC Chalamila: Dar es Salaam kufuta shule zote za sekondari za kutwa ili kudhibiti nidhamu ya wanafunzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo kwenye mchakato wa kufuta shule zote za sekondari za kutwa kwa ajili ya kudhibiti nidhamu kwa wanafunzi wote wa sekondari. Chalamila ameyasema hayo katika uwanja wa shule ya Sekondari ya Azania kwenye hafla ya kukabidhi magari kwa...
Back
Top Bottom