"Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa mwalifu ujue ana vimelea vya kiuhalifu." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
Picha mbalimbali katika ukaguzi wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam SACP Murilo Jumanne Murilo leo Septemba 24, 2025 Mkoa wa Kipolisi Ilala.
Kamanda Murilo ameanza ukaguzi katika Mkoa wa Ilala kwa mujibu wa kanuni za Jeshi la Polisi ili kuhakikisha huduma bora za usalama...
Wakuu,
Mnakumbuka ile clip ya Sativa baada ya kupatikana kule Katavi na akiwa amezungukwa na wananchi ambao ndio walijitolea kumpeleka hospitali na kuhakikisha anakutana tena na familia yake?
Kama utakuwa hujaona hiyo clip, nimeiweka hapo chini.
Ni clip inayomuonesha Sativa akiwa amezingirwa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema.
Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.