sau

Sakarya University (Turkish: Sakarya Üniversitesi), frequently referred to simply as SAU, is a public research university located in the city of Serdivan, the capital of the Turkish province of Sakarya.
Considered one of the largest universities in Turkey with more than 85,000 students, Sakarya University has very high research activity and its comprehensive graduate program offers doctoral degrees in Science, Technology, Engineering, and Humanities, as well as professional degrees in business, medicine, law, nursing, social work and dentistry. It hosts five different institutes: Educational Sciences, Natural Sciences, Health Sciences, Social Sciences, and Middle East Institute.
In Turkey, Sakarya University is the first and only state university receiving the ISO-2002 Quality Certificate and "the EFQM Excellence Quality Certificate of Competency Level".

View More On Wikipedia.org
  1. Mafyangula

    Polisi Morogoro: Tumefanya mahojiano na Rasel Mpuya muhadhiri chuo cha SAU, Tumemruhusu aendelea na majukumu yake, uchunguzi ukiendelea

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro. Soma Pia: Polisi Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel...
  2. Mafyangula

    GE2025 SAU watupia lawama INEC kwa dosari za uratibu wa ratiba za kampeni

    Mgombea urais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara ameilalamikia Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) akidai kuwepo kwa changamoto katika uratibu wa ratiba za kampeni, jambo linalosababisha mkanganyiko na migongano katika maeneo ya mikutano...
  3. W

    PreGE2025 Majaliwa Kyara achaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia SAU

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, wakisisitiza kauli mbiu ya chama chao Sala na Kazi, wakiamini italeta mafanikio katika...
  4. Mhaya

    Kwa nini SAUDI ARABIA na UAE hazielewani na IRAN licha zote kuwa nchi za Kiislamu

    Mvutano kati ya Saudi Arabia, UAE, na Iran unakuwepo licha ya mataifa haya kufuata falsafa za pamoja za dini ya Kiislamu lakini utofauti wa kikabila, kijeshi, na kiitikadi unafanya mataifa haya yasiwe na nia moja. Licha ya mataifa ya UAE na Saudi Arabia kuwa na utajiri wa kutosha na kuwa...
  5. Sauti ya Umma

    Katbu mkuu wa chama cha Sauti ya umma (SAU) ndugu Kyara awasha moto

  6. Sauti ya Umma

    SAU yaishauri Serikali kwa kushirikia na vyombo vya habari kuhasisha misaada kwa Uturuki na Syria

    Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimeishauri serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari na makundi mengine kutenga siku maalum ya kuhamasisha watanzania kuwachangia wenzetu wa Uturuki na Syria waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi. Tetemeko hilo lililosababisha takribani watu 47,000...
  7. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    Leo chama cha Sauti ya Umma(SAU ) kimezindua kauli mbiu mpya ya chama isemayo SALA NA KAZI kauli mbiu hiyo itakuwa moja ya sera za chama.
Back
Top Bottom