Wakuu za chini chini ni kua, Maamuzi ya Hakimu ya Leo yapo well coordinated and calculated.
Tarehe 19/5/2025 ,lile Genge la Wahuni wa UVCCM ,pamoja na Mamluki wao mbalimbali WAMEPANGA kuvaa nguo za Sare za CHADEMA tarehe Husika, Kisha wataanzisha Fujo nyingi sana Ndani ya Mahakama Fujo hizo...
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Joseph Mbilinyi, Ametambulisha sare mpya za Chama hicho Nchini Marekani.
Taarifa zinadokeza kwamba Mzigo huo mpya wa Chadema wenye nembo ya STRONGER TOGETHER umetengenezwa Nchi humo kwa quality za Kinyamwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.