Nasikitika sana kwa kitendo cha Shirika la Posta kuuza Sanduku langu la Posta la biashara kwa mtu mwingine bila taarifa, mpaka sasa hakuna msaada niliopata zaidi ya kuzungushwa, inawezekana aliyeuziwa ana thamani kuliko mimi
Kinachoniumiza zaidi sanduku la Posta limeshajazwa kwenye leseni ya...
Habari Wana Jamvi,
Natanguliza Shukran. Nakuja Kwenu Kama Familia Yangu/Jamii Yangu. Naomba Msaada Mwenye Sanduku La Posta Ambalo Lipo Active Nitumie Kupokea Document Yangu Mara Moja tu. Mimi sio Mtumiaji wa Sanduku la Posta na Wala sijui sana kuhusu posta Lakini Imenibidi nitumie Kipindi Hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.