samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Samia asipogombea CCM itapata hasara kubwa haijawahi kutokea tangu kiundwe

    Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo; 1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia. Bill Boards kila kona ya nchi zimejaa. Barabara zimejaa matangazo ya Samia. Huu ni uwekezaji mkubwa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

    SAMIAAAA SAMIAAAA SAMIAAAA Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
  4. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais ndiye the best option kwa wapinzani

    Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka. 3. Ngwe ya mwisho ni...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya myaka mi5 tutakuwa mikononi mwa wahuni at 100% (kabla hatujaufikia uchaguzi tujue hili)

    Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu. Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya demokrasia na namna nchi inavyoendeshwa kiujumla. Kwanza niwasalimu Salaam the learned ones and dear...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  7. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  8. JamiiForums Tanzania Mfikishieni Salamu Samia ya kwamba Maneno huumba Kilio Cha watanzania hakitaenda bure

    GT Tunasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" hata kiswahili chetu kinasema "Wengi wape". Hatakiwi kabisa na yeyote huyu.mama. Sasa huyu naona anajidai kuziba masikio anavunja katiba ya nchi na Chama kwa maslahi binafsi. Anatumia.pesa na hila kupoka madaraka ambayo hayawezi. Hivi vilio na...
  9. JamiiForums Tanzania Kumtisha Samia, ni kumtishia mtu mzima nyau!

    Huu ni ukweli mchungu ambao hata kama kuna watu hawaupendi, itabidi wauvumilie mpaka 2030! Tusimung'unye maneno, Samia urais anautataka, na amewekeza kuhakikisha anaupata! Kwenye siasa hakuna bahati mbaya! Kilichotokea kwenye mkutano mkuu, hakikuwa bahati mbaya! Ulikuwa ni mkakati uliopangwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

    Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar. Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni ! Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja. Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Safi sana mama yangu samia suluhu hassani kwa hili

    Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mitano ya Magu na mitano ya Samia ipi imeenda Kasi zaidi?

    Salaam, Wazoefu husema kuwa miaka huwa inatofautiana urefu, japo Mimi sikubaliani nao maana siku ni zile zile, Labda hili naweza kukubaliana nalo, kwamba, siku au mwaka ambao umepitia shida au taabu huenda Pole Pole sana, kwamba unapopitia taabu kiuchumi, kisiasa,kijamii, siku na miaka hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia usiwe king'ang'anizi, chutama ufuate taratbu za kumpata mgombea Urais CCM

    Kwa huu upepo ulivyo ingekuwa nchi zilizoendelea Rais Samia angejiuzuru au kuomba radhi kuwa alikosea na kuanzia utaratbu upya wa kumpata mgombea urais. Matokeo yake amekuwa kinganganizi kama Zuchu, amejilipua liwalo na liwe. Samia unavuna ulichopanda, mauaji uliyoyafanya, watu waliobakwa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Sina tatizo na Samia kuongoza, tatizo langu ni Sheria na taratibu zifuatwe kwa Haki

    Hamjambo! Sisi wengine hatunaga shida na mtu kuongoza au chama Fulani kuongoza. Ili mradi ni mtanzania na yupo chama cha Watanzania sisi hatuna shida na hilo. Shida yetu(Mimi na Watibeli) wapigania na wapenda Haki ni kuona Sheria, haki na katiba vikikanyagwa. Hapo ndio shida yetu ilipo...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Turufu pekee iliyobaki kwa Rais Samia

    Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana kwenye siasa za sasa. Siasa za sasa zinahitaji amshaamsha. Haifichiki tena kuwa mambo ndani ya CCM...
  16. JamiiForums Tanzania Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

    Ni kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi. Pengine ni hujuma dhidi ya. CCM.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ni Samia, Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania

    Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea. Lissu ndiye Rais ajaye Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo. Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani...
  19. JamiiForums Tanzania Samia kwa makini yasijekukukuta kama ya Rais John Kennedy wa Marekani

    Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza .. Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra...
  20. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu anafaa kuwa mgombea urais

    Jambo moja sielewi, kwamba watu wengine wanataka mchakato wa kumpata mgombea urais CCM urudiwe ili Samia Suluhu athibitishwe au hata abadilishwe. Sioni sababu,kwa sababu Rais Samia amefanya kazi nzuri,na akichaguliwa tena ataendelea kama alivyofanya mwanzo. Anajenga flyover,anajenga daraja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…