Humphrey Polepole akizungumza na wananchi kupitia mitandao ya kijamii ameweka wazi kuwa waandishi waandamani wengi wamepewa mlungula na Serikali ili wasiongee mambo ya msingi, akitolea mfano kwenye hafla ya tuzo za ''Samia Kalamu'' kuwa Serikali ilitoa mlungula hadharani kinyume na matumizi ya...
Hiki kinachofanyika ni kama kuwafanya waandishi waandike habari ambazo watawala wanataka kuzisikia na zile wasizoitaka isichapishwe. Hii inahatarisha mustakabali wa waandishi nchini.
===
Wizara ya habari imetoa zawadi maalumu kwa Deodatus Balile, Absalom Kibanda, Mbaraka Islam na Haula Shamte...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Awards’ ambazo zinalengo la kuchochea na kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo katika nyanja mbalimbali.
Tuzo hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.