samia infrastructure bond

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Nimewekea Samia Infrastructure Bond ila sijapata cheti

    Mimi nimewekeza kwenye Samia Infrastructure Bond. Mpaka leo sijapata cheti changu kuthibitisha kuwa nimewekeza kwenye uwekezaji huo. Chonde chonde ninaomba mnipatie cheti changu kunithibitishia kuwa mimi pia ni muwekezaji kwenye Samia Infrastructure Bond.
  2. K

    Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani

    Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
  3. K

    NAOMBA MNIWEKEE GAWIO LANGU LA SAMIA INFRASTRUCTURE BOND

    Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya miezi mitatu.
  4. K

    Tunaomba tupate vyeti vyetu vya Samia infrastructure bond

    Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni kila baada ya miezi mitatu. Nawasilisha.
  5. S

    Samia Infrastructure bond ,CRDB mlitangaza kuwa interest awamu ya kwanza italipwa leo tarehe 10 May wawekezaji wauliza kuna mabadiliko?

    Samia Infrastructure bond ,CRDB mlitangaza kuwa interest awamu ya kwanza italipwa leo tarehe 10 May wawekezaji wauliza kuna mabadiliko CRDB semeni kama kuna lmabadiliko sababu kwenye tangazo mlisema interest zitalipwa quarterly terehe 10 February, 10 may ,10 August na 10 November Leo tarehe...
Back
Top Bottom